SFNA 2019 Darasa la nne 2019/2020

The “Darasa la nne ” is a national level examination of Tanzania. The NECTA called this examination as Standard Four National Assessment Format (SFNA). However, it is also popularly known as Darasa la nne .

Darasa la nne 2019/20

Fomati hii ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne imeandaliwa kwa kuzingatia Mihitasari ya mwaka 2005 iliyoanza kutumika Januari 2007. Aidha, fomati hii imezingatia mabadiliko ya msingi ya upimaji wenye mtazamo wa mhamo wa ruwaza kwa kupima ujuzi, stadi na mielekeo mbalimbali aliyojifunza mtahiniwa. Upimaji utazingatia pia jinsi mtahiniwa anavyoweza kumudu stadi za Kusoma, Kuandika, Kuhesabu na kutumia ujuzi aliopata katika kutatua matatizo ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia.

Katika mtaala mpya masomo yanayofundishwa ni kumi na moja kama ilivyobainishwa katika Waraka wa Elimu Na. 2 wa Mwaka 2006 wenye Kumb. Na. ED/CK/C.2/4/V/2 wa tarehe 04/04/2006. Masomo hayo ni Kiswahili, English Language, Uraia, Historia, Jiografia, Stadi za Kazi, Hisabati, Sayansi, Haiba na Michezo, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Haiba na Michezo na Kifaransa. Kati ya masomo haya, masomo ya lazima ni Kiswahili, English Language, Uraia, Historia, Jiografia, Stadi za
Kazi, Hisabati, Sayansi na Haiba na Michezo. Masomo ya Kifaransa na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) yatakuwa masomo ya hiari.

Matokeo Ya Darasa la nne 2022/2023 (Std. Four NECTA SFNA 2022 Results). The Standard Four National Assessment (SFNA) 2022 Results will be published by the Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)  also known as the National Examination Council of Tanzania. However, every year the Matokeo Ya Upimaji Wa Kitaifa Wa Darasa La Nne NECTA is [...]